KUTUZWA KWA CHUO KIKUU CHA KISII

/, Latest News, Uncategorised/KUTUZWA KWA CHUO KIKUU CHA KISII

Tarehe ishirini na tisa mwezi wa tisa, Chuo Kikuu Cha Kisii kilituzwa kwa kuibuka bora nchini katika masuala ya kueneza maadili na uongozi bora miongoni mwa wanafunzi.

2022-12-08T17:35:34+03:00
FacebookTwitterEmail